Saturday, March 24, 2012

Bukhari 1:3


Sahih Al Bukhari: Kitabu#1, Hadith#3

Narrated 'Aisha:
(the mother of the faithful believers) The commencement of the Divine Inspiration to Allah's Apostle was in the form of good dreams which came true like bright daylight, and then the love of seclusion was bestowed upon him. He used to go in seclusion in the cave of Hira where he used to worship (Allah alone) continuously for many days before his desire to see his family. He used to take with him the journey food for the stay and then come back to (his wife) Khadija to take his food likewise again till suddenly the Truth descended upon him while he was in the cave of Hira. The angel came to him and asked him to read. The Prophet replied, "I do not know how to read." The Prophet added, "The angel caught me (forcefully) and pressed me so hard that I could not bear it any more. He then released me and again asked me to read and I replied, 'I do not know how to read.' Thereupon he caught me again and pressed me a second time till I could not bear it any more. He then released me and again asked me to read but again I replied, 'I do not know how to read (or what shall I read)?' Thereupon he caught me for the third time and pressed me, and then released me and said, 'Read in the name of your Lord, who has created (all that exists), created man from a clot. Read! And your Lord is the Most Generous." (96.1, 96.2, 96.3) Then Allah's Apostle returned with the Inspiration and with his heart beating severely. Then he went to Khadija bint Khuwailid and said, "Cover me! Cover me!" They covered him till his fear was over and after that he told her everything that had happened and said, "I fear that something may happen to me." Khadija replied, "Never! By Allah, Allah will never disgrace you. You keep good relations with your kith and kin, help the poor and the destitute, serve your guests generously and assist the deserving calamity-afflicted ones." Khadija then accompanied him to her cousin Waraqa bin Naufal bin Asad bin 'Abdul 'Uzza, who, during the pre-Islamic Period became a Christian and used to write the writing with Hebrew letters. He would write from the Gospel in Hebrew as much as Allah wished him to write. He was an old man and had lost his eyesight. Khadija said to Waraqa, "Listen to the story of your nephew, O my cousin!" Waraqa asked, "O my nephew! What have you seen?" Allah's Apostle described whatever he had seen. Waraqa said, "This is the same one who keeps the secrets (angel Gabriel) whom Allah had sent to Moses. I wish I were young and could live up to the time when your people would turn you out." Allah's Apostle asked, "Will they drive me out?" Waraqa replied in the affirmative and said, "Anyone (man) who came with something similar to what you have brought was treated with hostility; and if I should remain alive till the day when you will be turned out then I would support you strongly." But after a few days Waraqa died and the Divine Inspiration was also paused for a while.


حَدَّثَنَا يَحْيَى بْنُ بُكَيْرٍ، قَالَ حَدَّثَنَا اللَّيْثُ، عَنْ عُقَيْلٍ، عَنِ ابْنِ شِهَابٍ، عَنْ عُرْوَةَ بْنِ الزُّبَيْرِ، عَنْ عَائِشَةَ أُمِّ الْمُؤْمِنِينَ، أَنَّهَا قَالَتْ أَوَّلُ مَا بُدِئَ بِهِ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم مِنَ الْوَحْىِ الرُّؤْيَا الصَّالِحَةُ فِي النَّوْمِ، فَكَانَ لاَ يَرَى رُؤْيَا إِلاَّ جَاءَتْ مِثْلَ فَلَقِ الصُّبْحِ، ثُمَّ حُبِّبَ إِلَيْهِ الْخَلاَءُ، وَكَانَ يَخْلُو بِغَارِ حِرَاءٍ فَيَتَحَنَّثُ فِيهِ ـ وَهُوَ التَّعَبُّدُ ـ اللَّيَالِيَ ذَوَاتِ الْعَدَدِ قَبْلَ أَنْ يَنْزِعَ إِلَى أَهْلِهِ، وَيَتَزَوَّدُ لِذَلِكَ، ثُمَّ يَرْجِعُ إِلَى خَدِيجَةَ، فَيَتَزَوَّدُ لِمِثْلِهَا، حَتَّى جَاءَهُ الْحَقُّ وَهُوَ فِي غَارِ حِرَاءٍ، فَجَاءَهُ الْمَلَكُ فَقَالَ اقْرَأْ. قَالَ " مَا أَنَا بِقَارِئٍ ". قَالَ " فَأَخَذَنِي فَغَطَّنِي حَتَّى بَلَغَ مِنِّي الْجَهْدَ، ثُمَّ أَرْسَلَنِي فَقَالَ اقْرَأْ. قُلْتُ مَا أَنَا بِقَارِئٍ. فَأَخَذَنِي فَغَطَّنِي الثَّانِيَةَ حَتَّى بَلَغَ مِنِّي الْجَهْدَ، ثُمَّ أَرْسَلَنِي فَقَالَ اقْرَأْ. فَقُلْتُ مَا أَنَا بِقَارِئٍ. فَأَخَذَنِي فَغَطَّنِي الثَّالِثَةَ، ثُمَّ أَرْسَلَنِي فَقَالَ {اقْرَأْ بِاسْمِ رَبِّكَ الَّذِي خَلَقَ * خَلَقَ الإِنْسَانَ مِنْ عَلَقٍ * اقْرَأْ وَرَبُّكَ الأَكْرَمُ} ". فَرَجَعَ بِهَا رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم يَرْجُفُ فُؤَادُهُ، فَدَخَلَ عَلَى خَدِيجَةَ بِنْتِ خُوَيْلِدٍ رضى الله عنها فَقَالَ " زَمِّلُونِي زَمِّلُونِي ". فَزَمَّلُوهُ حَتَّى ذَهَبَ عَنْهُ الرَّوْعُ، فَقَالَ لِخَدِيجَةَ وَأَخْبَرَهَا الْخَبَرَ " لَقَدْ خَشِيتُ عَلَى نَفْسِي ". فَقَالَتْ خَدِيجَةُ كَلاَّ وَاللَّهِ مَا يُخْزِيكَ اللَّهُ أَبَدًا، إِنَّكَ لَتَصِلُ الرَّحِمَ، وَتَحْمِلُ الْكَلَّ، وَتَكْسِبُ الْمَعْدُومَ، وَتَقْرِي الضَّيْفَ، وَتُعِينُ عَلَى نَوَائِبِ الْحَقِّ. فَانْطَلَقَتْ بِهِ خَدِيجَةُ حَتَّى أَتَتْ بِهِ وَرَقَةَ بْنَ نَوْفَلِ بْنِ أَسَدِ بْنِ عَبْدِ الْعُزَّى ابْنَ عَمِّ خَدِيجَةَ ـ وَكَانَ امْرَأً تَنَصَّرَ فِي الْجَاهِلِيَّةِ، وَكَانَ يَكْتُبُ الْكِتَابَ الْعِبْرَانِيَّ، فَيَكْتُبُ مِنَ الإِنْجِيلِ بِالْعِبْرَانِيَّةِ مَا شَاءَ اللَّهُ أَنْ يَكْتُبَ، وَكَانَ شَيْخًا كَبِيرًا قَدْ عَمِيَ ـ فَقَالَتْ لَهُ خَدِيجَةُ يَا ابْنَ عَمِّ اسْمَعْ مِنَ ابْنِ أَخِيكَ. فَقَالَ لَهُ وَرَقَةُ يَا ابْنَ أَخِي مَاذَا تَرَى فَأَخْبَرَهُ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم خَبَرَ مَا رَأَى. فَقَالَ لَهُ وَرَقَةُ هَذَا النَّامُوسُ الَّذِي نَزَّلَ اللَّهُ عَلَى مُوسَى صلى الله عليه وسلم يَا لَيْتَنِي فِيهَا جَذَعًا، لَيْتَنِي أَكُونُ حَيًّا إِذْ يُخْرِجُكَ قَوْمُكَ. فَقَالَ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم " أَوَمُخْرِجِيَّ هُمْ ". قَالَ نَعَمْ، لَمْ يَأْتِ رَجُلٌ قَطُّ بِمِثْلِ مَا جِئْتَ بِهِ إِلاَّ عُودِيَ، وَإِنْ يُدْرِكْنِي يَوْمُكَ أَنْصُرْكَ نَصْرًا مُؤَزَّرًا. ثُمَّ لَمْ يَنْشَبْ وَرَقَةُ أَنْ تُوُفِّيَ وَفَتَرَ الْوَحْىُ.


Amesimulia 'Aisha (r.a) (Mama wa waumini):
Mwanzo wa kupokea Wahyi kwa Mtume wa Allah (s.a.w) ulikuwa katika mfumo wa ndoto njema zilizokuja kuwa kweli kama siku angavu (yenye mwanga mkali), halafu mapenzi ya utawa yakajaaliwa juu yake. Alikuwa akienda kutawa katika pango la Hira ambapo alienda kufanya ibada peke yake kwa siku nyingi mfululizo kabla ya kupatwa hamu ya kuiona familia yake. Alikuwa akibeba chakula kwa ajili ya safari hizo kwa kipindi anachokuwa huko halafu akirudi kwa (mkewe) Khadija (r.a) kuchukua tena chakula kama kawaida mpaka Ukweli ulipomshukia ghafla akiwa katika pango la Hira. Malaika alimjia na kumwambia asome. Mtume (s.a.w) akajibu, "Sifahamu jinsi ya kusoma" Mtume (s.a.w) ameongezea (katika maelezo), "Malaika alinikamata kwa nguvu na kunibana kwa nguvu mpaka nikashindwa kuvumilia. Halafu akaniachia na kuniambia tena nisome na nikajibu, "Sifahamu jinsi ya kusoma". Hapo akanikamata tena na kunibana tena kwa mara ya pili mpaka nikashindwa kuvumilia. Halafu akaniachilia na kuniambia tena nisome lakini tena nikajibu, 'Sifahamu jinsi ya kusoma (au nisome nini)?' Hapo ndipo akanikamata kwa mara ya tatu na kunibana, halafu akaniachia na kusema, 'Soma kwa jina la Mola wako Mlezi aliyeumba, amemuumba binadamu kwa tone la damu. Soma! Na Mola wako Mlezi ni Karimu kushinda wote!'' (Qur'an 96:1-3) Halafu Mtume wa Allah (s.a.w) akarudi na ujumbe wa ufunuo huku moyo ukimdunda kupita kiasi. Halafu akaenda kwa Khadija bint Khuwailid (r.a) na kusema, "Nifunike! Nifunike!" akamfunika mpaka woga ukamuisha na baada ya hapo akamueleza kila kitu kilichotokea na kusema, "Ninahofu jambo linaweza kunitokea" Khadija (r.a) akajibu, "Kamwe! kwa Allah, Allah hawezi kukufedhehesha. Unamahusiano mazuri na jamaa zako, husaidia masikini na mafukara, huhudumua wageni wako kwa ukarimu na kusaidia walofikwa na maafa na balaa" Halafu Khadija (r.a) akamsindikiza kwa binamu yake, Waraqa bin Naufal bin Asad bin 'Abdul 'Uzza, ambaye katika kipindi kabla ya uislam alikuwa mkristo na alikuwa akiandika kwa herufi za kiebrania (Hebrew). Alikuwa akiandika kutoka Injili kwa kiebrania kwa kadri alivyojaaliwa na Allah kuandika. Alikuwa mzee na alipoteza uwezo wa kuona (kipofu). Khadija (r.a) akamwambia Waraqa, "Sikiliza habari ya mpwa wako, ewe binamu yangu!" Waraka akauliza, "Ewe mpwa wangu! Umeona nini?" Mtume wa Allah (s.a.w) akaelezea alichoona. Waraqa akasema, "Huyu ni yuleyule anayeweka siri (Malaika Jibril) ambaye Allah alimtuma kwa Musa (a.s). Natamani ningekuwa kijana na ningeweza kuishi katika kipindi ambacho watu wako watakugeuka" Mtume wa Allah akasema, "Watanifukuza?" Warawa akamjibu kwa kukubali na kusema, "Yeyote aliyekuja na kitu kama ulicholeta alifanyiwa uadui; na kama ningalibakia hai mpaka wakati watakugeukia ningekusaidia haswa." Lakini baada ya siku chache Waraqa alikufa na Wahyi pia ulisimamishwa kwa kipindi.

Friday, March 23, 2012

Bukhari, 1:2


Sahih Al-Bukhari: Kitabu #1, Hadith #2

Narrated 'Aisha:
(the mother of the faithful believers) Al-Harith bin Hisham asked Allah's Apostle "O Allah's Apostle! How is the Divine Inspiration revealed to you?" Allah's Apostle replied, "Sometimes it is (revealed) like the ringing of a bell, this form of Inspiration is the hardest of all and then this state passes off after I have grasped what is inspired. Sometimes the Angel comes in the form of a man and talks to me and I grasp whatever he says." 'Aisha added: Verily I saw the Prophet being inspired divinely on a very cold day and noticed the sweat dropping from his forehead (as the Inspiration was over).


حَدَّثَنَا عَبْدُ اللَّهِ بْنُ يُوسُفَ، قَالَ أَخْبَرَنَا مَالِكٌ، عَنْ هِشَامِ بْنِ عُرْوَةَ، عَنْ أَبِيهِ، عَنْ عَائِشَةَ أُمِّ الْمُؤْمِنِينَ ـ رضى الله عنها ـ أَنَّ الْحَارِثَ بْنَ هِشَامٍ ـ رضى الله عنه ـ سَأَلَ رَسُولَ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم فَقَالَ يَا رَسُولَ اللَّهِ كَيْفَ يَأْتِيكَ الْوَحْىُ فَقَالَ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم " أَحْيَانًا يَأْتِينِي مِثْلَ صَلْصَلَةِ الْجَرَسِ ـ وَهُوَ أَشَدُّهُ عَلَىَّ ـ فَيُفْصَمُ عَنِّي وَقَدْ وَعَيْتُ عَنْهُ مَا قَالَ، وَأَحْيَانًا يَتَمَثَّلُ لِيَ الْمَلَكُ رَجُلاً فَيُكَلِّمُنِي فَأَعِي مَا يَقُولُ ". قَالَتْ عَائِشَةُ رضى الله عنها وَلَقَدْ رَأَيْتُهُ يَنْزِلُ عَلَيْهِ الْوَحْىُ فِي الْيَوْمِ الشَّدِيدِ الْبَرْدِ، فَيَفْصِمُ عَنْهُ وَإِنَّ جَبِينَهُ لَيَتَفَصَّدُ عَرَقًا.


Amesimulia 'Aisha (Mama wa waumini) (r.a):
Al Harith bin Hisham alimuuliza Mjumbe wa Allah (s.w.t) "Ewe Mjumbe wa Allah! Ni vipi unafunuliwa (unaletewa) wahyi?" Mjumbe wa Allah (s.a.w) akamjibu, "Wakati mwingine huja kama mlio wa kengele, aina hii ya wahyi ni ngumu (nzito) zaidi ya yote halafu hali hiyo hupita baada ya kuelewa nilicholetewa. Wakati mwingine yeye Malaika huja katika umbile la mwanadamu na kuzungumza nami na mimi huelewa chochote anachosema" Aisha (r.a) akaongezea: Kwa hakika nilimuona Nabii akipokea wahyi siku ya baridi kali na halafu nikaona jasho likimtoka kwenye paji la uso wake"

Thursday, March 22, 2012

Bukhari, 1:1

Sahih Al Bukhari: (Kitabu#1, Hadithi#1)

Narrated 'Umar bin Al-Khattab:
I heard Allah's Apostle saying, "The reward of deeds depends upon the intentions and every person will get the reward according to what he has intended. So whoever emigrated for worldly benefits or for a woman to marry, his emigration was for what he emigrated for."

حَدَّثَنَا الْحُمَيْدِيُّ عَبْدُ اللَّهِ بْنُ الزُّبَيْرِ، قَالَ حَدَّثَنَا سُفْيَانُ، قَالَ حَدَّثَنَا يَحْيَى بْنُ سَعِيدٍ الأَنْصَارِيُّ، قَالَ أَخْبَرَنِي مُحَمَّدُ بْنُ إِبْرَاهِيمَ التَّيْمِيُّ، أَنَّهُ سَمِعَ عَلْقَمَةَ بْنَ وَقَّاصٍ اللَّيْثِيَّ، يَقُولُ سَمِعْتُ عُمَرَ بْنَ الْخَطَّابِ ـ رضى الله عنه ـ عَلَى الْمِنْبَرِ قَالَ سَمِعْتُ رَسُولَ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم يَقُولُ " إِنَّمَا الأَعْمَالُ بِالنِّيَّاتِ، وَإِنَّمَا لِكُلِّ امْرِئٍ مَا نَوَى، فَمَنْ كَانَتْ هِجْرَتُهُ إِلَى دُنْيَا يُصِيبُهَا أَوْ إِلَى امْرَأَةٍ يَنْكِحُهَا فَهِجْرَتُهُ إِلَى مَا هَاجَرَ إِلَيْهِ ".

Amesimulia 'Umar bin Al-Khattab (r.a):
Nilimsikia Mtume wa Allah (s.a.w) akisema, "Malipo ya matendo hutegemea nia na kila mja atapata malipo kutokana na alichonuia. Kwa hiyo yeyote aliyehama kwa ajili ya manufaa ya kidunia au kwa ajili ya kuoa mwanamke, basi kuhama kwake ni kwa ajili ya alichokihamia"

Tuesday, March 13, 2012

Ujirani katika uislam


Bismillahi Rahmani Rahiim



"Mtumikieni (muabuduni) Allah, na msimshirikishe na chochote; na watendeeni wema wazazi, ndugu, yatima, na wenye shida, majirani walio karibu, majirani wageni, swahiba walio pembeni yenu, wapitanjia (mnaokutana nao), na mikono yenu ya kuume inayomiliki. Hakika Mwenyezi Mungu hapendi wenye kiburi wanao jifakhiri." [Qur'an 4:36]

Monday, March 12, 2012

Swali kuhusu jina "WAHABIYYA"

Swali: 


Ni nani wahabi? Kwanini waitwe hivyo kama wenyewe wanajiita Salafi?

Jibu:

WAHABI ni yoyote anayefuata itikadi, aqida, harakati na msimamo wa Shehe wa Najidi Muhammad Ibn Abdul-Wahab na kukubaliana nao na kuuendeleza mtizamo huo.

Swali kuhusu hukumu ya hirizi

Swali:

Ni nini hukmu ya hirizi katika sharia?


Jibu:

Kumeulizwa mara nyingi kuhusu hirizi na hukmu yake katika sheria ya kiislamu, na lakuskitisha mas'ala haya ni katika masail ambayo baadhi ya wanaojinasibisha na ilmu wanawatia wenzi wao katika shirki kwa sababu ya hirizi! kanakwamba ma3ulamaa wa ummah wameafikiana wote kua hirizi ni shirki, na lakuskitisha hawatafautishi kati ya inayoandikwa Qur'an ndani na nyenginezo!

Thursday, March 1, 2012

Swali kuhusu "Al Badir/Alal Badri" (Ahlul Badr)

Swali:

Je ni nini maana ya ALAL BADRI?
Je kuna aina ngapi za ALAL BADRI?
Je ktk dini inaruhusiwa kufanya/kusoma ALAL BADRI?

Jibu:

Jina sahihi ni Ahlul Badr, yaani watu wa Badr. Hawa ni maswahaba (R.A) waliopigana vita vya Badr na kuleta ushindi kwa waislam mwezi wa Ramadhan, tarehe 17, Mwaka 2 (AH). Idadi yao ni kati ya 305

Swali kuhusu wasiokua waislamu wanaosaidia waislam vitani


Swali:


Nini hukmu ya wasiokuwa waislam wanaopigana (alongside) au kushirikiana kwa namna moja au nyingine na muslims katika jihad dhidi ya maadui wa waislam?

Jibu:

Hakuna ubaya kwa asiyekuwa Mwislamu kujitolea au kushirikiana na Waislamu, katika jihadi dhidi ya maadui wa Waislamu – iwapo Waislamu wenyewe hawana mashaka au wasiwasi naye na wakawa