Swali:
Ni nini hukmu ya hirizi katika sharia?
Jibu:
Kumeulizwa mara nyingi kuhusu hirizi na hukmu yake katika sheria ya kiislamu, na lakuskitisha mas'ala haya ni katika masail ambayo baadhi ya wanaojinasibisha na ilmu wanawatia wenzi wao katika shirki kwa sababu ya hirizi! kanakwamba ma3ulamaa wa ummah wameafikiana wote kua hirizi ni shirki, na lakuskitisha hawatafautishi kati ya inayoandikwa Qur'an ndani na nyenginezo!
Imepokewa kutoka kwa imam ahmad na twabarani na hakim kua Mtume (s.a.w) amesema: atakaeangika hirizi basi Allaah hatamtimizia. na pia wamepokea maimamu haohao kua Mtume (s.a.w) amesema: atakaeangika (yani hirizi) basi atakua amefanya shirk.
Kutokamana na hadithi hizi mbili wakashikilia kua hirizi ni shirki na kila atakaevaa hirizi ni mushrik.
Je, ni sawa ikiwa imeandikwa mazingaombwe ndani ama hata kama imeandikwa Qur'an?!
Jumhuur ya 3ulamaa wametafautisha katika ya hirizi za kishirikina na hirizi za kisheria, na kutafautisha huko ni kwakuja hadithi ya 3awf ibn maalik iliopokewa na imam muslim katika swahih yake, Mtume (s.a.w) amesema: لا بأس بالرقى ما لم يكن فيه شرك , hamna neno kutumia ruqya madamu itakua haina shirk, na maneno ya Allaah (sw) na majina yake na sifa za na dhikr haziwezi kua ni shirk.
Hakuna anaeweza kujua na kufahamu hadithi hizi kama wanazuoni walosherehesha hadithi za bwana Mtume (s.a.w) turidini kwao tuwaskize wanasemaje kuhusu hadithi hizi.
1: Imam khattwaby, mwanachuoni wakwanza kusherehesha s.bukhary asema: ruqya zilokatazwa
ni zile zisofahamika, ama ikiwa ni kumtaja Mungu basi ni mustahabb.
2: Ibnu ttiin, katika sherehe yake ya s.bukhary asema: kujipoza kwa ta3meez zinazokusanya
majina ya Mungu ni matibabu ya kiroho yanapotoka kwa mtu mwema, na watu walipokosa
matibabu haya yakiroho ndio wakakimbilia matibabu yakimwili.
3: Ibnu hajar al3asqalany, mwanachuoni alosherehesha bukhary na sherehe yake ikapata bahati
kushinda zote, asema: haingii katika makatazo hayo zile zinazoandikwa maneno ya mungu
ndani na majina yake. kisha akanukuu maneno ya rabii3 mwanafunzi wa imam shafi asema:
nimemuuliza imam shafi kuhusu ruqya akasema: haina neno kufanya ruqya kwa kutumia
Qur'an.
4: ja3far inbu muhammad na ibnu 7ibbaan na Ibnul qayyim, ametaja ibnul qayyim katika zaadul
ma3aad kua ibnu 7ibban alimuuliza ja3far ibnu muhammad kuhusu kuangiza ta3weez akasema:
ikiwa ni Qur'an ama maneno kutoka kwa Mtume s.a.w basi angika na utake shifaa kwayo.
5: Imam ahmad, amepokea pia ibnul qayyim katika zaadul ma3aad kutoka kwa abdullaah mtoto
wa imam ahmad akisema: nimemuona babangu akiwaandikia ta3weez wanaopatwa na homa na
wenye kupatwa na uoga, baada ya kupatwa na balaa.
6: Imam qurtuby, asema ruqya ziko sampuli tatu:
A: zilizokua zikitumika zama za ujahilia ambazo hazifahamiki maana yake, yapasa kujieka mbali
nazo ili zisije zikawa ni shirki ama zikakupelekea katika ushirikina.
B: zinazokua kwa majina ya Mungu ama kwa sifa zake, nazo sinafaa, na ikiwa imepokelewa katika
athar basi ni musta7abb.
C: zinazokua kwa majina yasokua ya Mungu, kama jina la mfalme ama mtu adhimu ama malaika
ama 3arsh, na sampuli hii si wajibu kuifanya, kuiwacha hua ni bora.
Hizi ni baadhi ya aqwaal za maimamu wa hadith, na qawl ni nyingi ila nimependelea kufupisha.
Ama kwa maimamu wa fiqhi basi pia waunga mkono hirizi zinazokua kwa maneno ya Mungu ama majina yake ama sifa zake, kwa madhehebu yote manne ya ahlussunna waljama3a.
Katika madhehubu ya imam abu hanifa:
1: Ametaja ibnu 3aabidiin katika 7aashiya yake 6-363: ni makruh ta3weez inayokua kwa lugha
isokua ya kiarabu na isofahamika, ama inayokua kwa Qur'an ama dua basi haina neno.
2: Almatrizy katika almugharrab 62 anasema: baadhi ya watu wanadhani ta3weez ni zile hirizi za
kishirikina, na wala si hizo, ta3weez ni kinga, na hazina neno zinapoandikwa maneno ya Mungu
ama majina yake.
Katika madhehebu ya imam malik:
1: Ametaja imam ibnu 3abdil barr maneno ya imam malik takita attamhiid 17-161: amesema imam
malik kua hamna neno kuangika vilivyoandikwa majina ya Mungu katika shingo za wagonjwa
kwa kutaka kutabaruku.
2: Ametaja mwenye attaaj wal ikliil 1-304: amesema ash'hab kua hamna neno wanazoangika
wenye heyidh ama mimba ama watoto kwa kujilinda na maradhi na jicho.
3: Katika sherehe ya kharshy 3ala khaliil 1-161: yafaa vuangika hirizi kwa mtu hata kama
amebalighi, muislamu ama kafiri, mzima ama mgonjwa, mwenye heydh ama mwenye mimba,
ama nifaas ama janaba, hata kwa wanyama ikiogopewa jicho.
4: Amesema abul hasan almaaliky katika kifaayatut twaalib 2-643: hamna neno kuvaa hirizi
ziloandikwa Qur'an shingoni.
5: Amesema al3adawy katika 7aashiya yake maneno hayohayo 2-643.
6: Pia mwenye ath'thamarud daany ametaja maneno hayo 1-712.
7: Pia mwenye alfawakihud dawaany ametaja maneno kama hayo 2-340.
NB: 3ajiib katika madhehebu ya imam malik wamejuzisha kuvaa hirizi za kisheria hata kwa wanyama!
Katika madhehebu ya Imam Shafi:
1: katika majmuu3 ya imam nawawy 9-74 asema: amepokea imam bayhaqy kwa sanad swahihi
kua ibnul musayyab alikua akiamrisha watu waangike Qur'an na akiona haina neno.
2: katika 7aashiyatul 3aabidy 3alat tu7fa 1-150: na zinazoandikwa sio kwa ajili ya kusoma, kama
hirizi iloandikwa Qur'an kwa ajili ya kutabaruku basi si haramu kuigusa kwa mwenye janaba.
3: katika asnal matwaalib cha sheikhul islaam zakariyya al'answary 1-61 asema: na yafaa kushika
na kubeba vilivyoandikwa Qur'an si kwa ajili ya kusoma kama hirizi.
4: amesema maneno kama hayo shabramolsy katika 7aashiya yake 1-124.
5: bujayrimy katika 7aashiya yake ameyazungumza kwa urefu mas'ala ya hirizi na kutaja masharti
yake, inshaallaah tutayataja mwisho wa ba7thi hii.
Katika madhehebu ya imam ahmad:
1: katika tas7ii7 al'furuu3 cha almirdawy 2-173 asema: na yafaa kuandika Qur'an ama dhikri
nyengine yoyote kwa kiarabu na kuvalishwa mgonjwa ama mwenye mimba.
2: katika al'aadaab cha ibnu mufli7 2-455 asema: yafaa kuvaa ta3weez ilioandikwa Qur'an ama
dhikri yoyote nyengine.Kisha akanukuu maneno ya almarudhy akisema: alikuja mwanamke
kushtaki kwa imam ahmad kua yuko pekee nyumbani akamuandikia hirizi kwa khati zake,
akamuandikia bismillaah na alfaati7a na almu3awwidhatayn na ayatul kursy.Kisha akasema: na
alimuandikia imam ahmad mwenye homa:
بسم الله الرحمن الرحيم بسم الله وبالله ومحمد رسول الله: {يا نار كوني بردا وسلاما على إبراهيم وأرادوا به كيدا فجعلناهم الأخسرين } اللهم رب جبريل وميكائيل وإسرافيل اشف صاحب هذا الكتاب بحولك وقوتك وجبروتك إله الحق آمين .)
ama katika maswahaba walofanya ta3weez ni sayyida 3aaisha r.a.3 na abdullaah ibnu 3umar alikua akiwaandikia wanae na kuwavalisha kama ilivothibiti katika sunan. na katika taabi3iina ni ibnul musayyab na pia imam albaqir na sa3iid ibnu jubayr.
Amenukuu imam ibnu hajar al3asqalany ijmaa3 katika mas'ala haya kwa masharti matatu:
1: iwe ni kwa maneno ya Mungu ama majina yake ama sifa zake.
2: iwe kwa lugha ya kiarabu ama lugha nyengine lakini iwe inafahamika.
3: aitakidi anaeivaa kua hizo hirizi ama ta3weez haidhuru wala hainufaishi yenyewe, bali
anaenufaisha na kudhuru ni Allaah (s.w)
Masharti ya hirizi ya kisheria:
1: iandikwe kwa kitu twahara.
2: na iwe katika sehemu twahara.
3: aitakidi usahihi wake.
4: na asikusudie kwa kuiandika kuijaribu.
5: asiyatamke anayoyaandika.
6: aifiche na macho ya watu bali hata na macho yake baad ya kuiandika.
7: aiweke mbali na jua.
8: aiandike kwa ajili ya Allaah s.w.
9: asifiche harufu wala asitie shakli ( fat7a na kasra na ...)
10: asiitie udongo.
11: asiiguse na chuma.
Haya masharti ameyataja imam bujayrimy katika 7aashiya yake.
Kutokamana na ba7thi hii tunaona kua hirizi zipo sampuli mbili:
1: zakishirikina, nazo ni zenye kuandikwa mambo yasofahamika, hizo ni haramu.
2: zakisheria: nazo ni zenye kuandikwa Qur'an ama adhkaar zengine, nazo ni halali kwa kuzingatia yale masharti matatu aloyataja imam ibnu hajar.
Wallaahu a3lam.

Na jee kutumia kombe inaruhusiwa? Aidha kuoga, kunawa, kunywa na kujipaka! (Fatma)
ReplyDeletekutumia kombe yafaa, na imethubutu kua ibnu 3abbaas r.a.3 alkua akiwafanyia kombe wagonjwa.kama alivotaja ibnu taymiya katika fatawa yake na kwa kutolea ushahidi.
ReplyDeletehapo maelezo yako wazi kuwa kuna aina mbili za hirizi....zenye kuandikwa Quran na majina ya m/mungu ni halali na zenye maandishi yasofahamika na maneno mengine ni haram.....lkn sasa mtu asokuwa na ilimu ataijuwa vipi kuwa hii ni ya halali na hii ni yaharamu?
ReplyDeleteya halali unaenda kuandikiwa na msomi mcha Mungu anajulikana kwa taqwa na wema. Kama vile watu walikua wakienda kuandikiwa na imam ahmad.
ReplyDeleteCha muhimu nadhani ni kumjua sifa za anayekuandikia hiyo hirz. Kama ni mcha mungu.
ReplyDeleteImam Ibn Taymiyya writes in his Fatawa: (ta'wizes).
ReplyDeleteIn the name of Allah, Most Compassionate, Most Merciful,
Hanging or wearing of amulets (ta’wiz) is normally permissible for protection or healing provided certain conditions are met:
1) That they consist of the names of Allah Almighty or his attributes;
2) That they are in Arabic;
3) That they do not consist of anything that is disbelief (kufr);
4) The user does not believe the words have any affect in themselves, but are empowered to do so by Allah Most High.
It is narrated from Amr ibn Shu’ayb, from his father, from his grandfather (Abdullah ibn Amr ibn al-Aas (Allah be pleased with them all), that the Messenger of Allah (Allah bless him & give him peace) used to teach them (the Sahabas) for fearful situations the following words:
“I seek refuge in Allah’s perfect words from His wrath, the evil of his servants, the whispered insinuations of devils, and that they come to me”
Abd Allah ibn Amr used to teach these words to those of his sons who had reached the age of reason, and used to write them and hang them upon those who had not reached the age of reason (narrated by Abu Dawud & Tirmidhi, and Tirmidhi classed it as an authentic narration).
In the Musannaf of Imam Abu Bakr ibn Abi Shayba, the permissibility of hanging Ta’wizes is reported from many of the Companions and early Muslims (Salaf), including: Sa’id ibn al-Musayyab, Ata', Mujahid, Abd Allah ibn Amr, Ibn Sirin, Ubaydullah ibn Abd Allah ibn Umar, and others (Allah be well pleased with them all). [See: al-Musannaf, 5.439]. Due to the above, most of the scholars have declared the using of amulets (ta’wiz) permissible as long as the above conditions are met. It is similar to using medication which is permissible and not against the concept of reliance in Allah (tawakkul) or monotheism Tawhid. However, it is not permissible to regard the Ta’wiz to be effective in it self, just as it is not permissible to regard medicines to be effective in them selves.
As for that which is reported from some, including Ibn Mas’ud (Allah be pleased with him), that hanging Ta’wizes is shirk, this is understood to mean those Ta’wizes that resemble the one’s used in the days of ignorance (jahiliyya), or if used thinking that it is the ta’wiz itself that cures or protects, not Allah, or if it contains impermissible invocations or one’s whose meaning is not known
Imam Ibn Taymiyya (Allah have mercy on him) writes in his Fatawa:
ReplyDelete“It is permissible for an ill or troubled person, that certain verses from the Qur’an are written with pure ink, then it is washed and given to the ill to drink. Ibn Abbas (Allah be pleased with him) is reported to have mentioned a certain Dua that should be written and placed close to the woman who is experiencing hard labour at the time of giving birth.
Sayyiduna Ali (Allah be pleased with him) says: This Dua should be written and tied to the arm of the woman. We have experienced that there is nothing more amazing than this” (Fatawa Ibn Taymiyya, 19/65). Imam Ibn Taymiyya’s student Imam Ibn al-Qayyim also narrates the permissibility of using Ta’wizes from a number of salafs including the great Imam Ahmad ibn Hanbal (Allah have mercy on him). Thereafter Ibn al-Qayyim himself quotes various Ta’wizes (Zad al-Ma’ad, 3/180).
In view of the foregoing, it becomes clear that generally using of Ta’wizes is not something that is impermissible or Shirk. However, it is necessary that the above mentioned conditions are met.
Today we have people who are victims of immoderation. There are some people who declare all types of Ta’wizes to be Shirk and Kufr. Others, on the other hand, think Ta’wizes to be everything. Both these types of understandings are incorrect.
Using of Ta’wizes is permissible, but with moderation. Normally it is better to recite the Duas which are prescribed for every problem and illness, and along with that resort to medical treatment. However, if Ta’wizes are used sometimes, then it is permissible.
If there is a fear that a person will begin to think the Ta’wiz to be effective in it self, then he should not be given the Ta’wiz. This will be the decision of the person who is giving the Ta’wiz, and not for us to decide for him.
There are many people who never make Dua and are neglectful of the Shariah injunctions, but always depend on Ta’wizes. For such people, it is better not to give them Ta’wizes, rather to direct them to the straight path.
Once, a sister asked me to mention to her a Dua or write something for her in order to get married to someone she desired, and she also mentioned that her Duas were not being answered. I asked: “Do you cover your self when you emerge out of your home?” no, was the reply. I said: “Do you perform your Salat (Prayers)?” Again, “no” was the reply. I said: “From tomorrow, you make this special Dua after the Fajr Salat, and you carry on performing this for 6 months, and Insha Allah your Dua will be accepted. Also a very Important Ta’wiz is that you recite a certain Dua and blow on your scarf and wear that scarf when emerging out of your home”!
In conclusion, generally it is permissible to use amulets (ta’wizes) in compliance with the conditions mentioned above. However, if there is something that is impermissible, then it will not be allowed.
Hii ni kutoka Madhehebu ya Hanafi.
ReplyDeletehttp://www.youtube.com/watch?v=I8ER_XVL4nc
Na je hirizi ilio na vibox kisha ndani number na hurufi za kiarabu tafouti tafouti yafaa ?
ReplyDelete