Monday, April 2, 2012

Bukhari 1:4


Sahih Al-Bukhari: Kitabu#1, Hadith#4


Narrated Jabir bin 'Abdullah Al-Ansari while talking about the period of pause in revelation reporting the speech of the Prophet: "While I was walking, all of a sudden I heard a voice from the sky. I looked up and saw the same angel who had visited me at the cave of Hira' sitting on a chair between the sky and the earth. I got afraid of him and came back home and said, 'Wrap me (in blankets).' And then Allah revealed the following Holy Verses (of Quran):
'O you (i.e. Muhammad)! wrapped up in garments!' Arise and warn (the people against Allah's Punishment),... up to 'and desert the idols.' (74.1-5) After this the revelation started coming strongly, frequently and regularly."


قَالَ ابْنُ شِهَابٍ وَأَخْبَرَنِي أَبُو سَلَمَةَ بْنُ عَبْدِ الرَّحْمَنِ، أَنَّ جَابِرَ بْنَ عَبْدِ اللَّهِ الأَنْصَارِيَّ، قَالَ ـ وَهُوَ يُحَدِّثُ عَنْ فَتْرَةِ الْوَحْىِ، فَقَالَ ـ فِي حَدِيثِهِ " بَيْنَا أَنَا أَمْشِي، إِذْ سَمِعْتُ صَوْتًا، مِنَ السَّمَاءِ، فَرَفَعْتُ بَصَرِي فَإِذَا الْمَلَكُ الَّذِي جَاءَنِي بِحِرَاءٍ جَالِسٌ عَلَى كُرْسِيٍّ بَيْنَ السَّمَاءِ وَالأَرْضِ، فَرُعِبْتُ مِنْهُ، فَرَجَعْتُ فَقُلْتُ زَمِّلُونِي. فَأَنْزَلَ اللَّهُ تَعَالَى {يَا أَيُّهَا الْمُدَّثِّرُ * قُمْ فَأَنْذِرْ} إِلَى قَوْلِهِ {وَالرُّجْزَ فَاهْجُرْ} فَحَمِيَ الْوَحْىُ وَتَتَابَعَ ". تَابَعَهُ عَبْدُ اللَّهِ بْنُ يُوسُفَ وَأَبُو صَالِحٍ. وَتَابَعَهُ هِلاَلُ بْنُ رَدَّادٍ عَنِ الزُّهْرِيِّ. وَقَالَ يُونُسُ وَمَعْمَرٌ " بَوَادِرُهُ ".

Amesimulia Jabir bin 'Abdullah Al-Ansari akizungumzia kipindi cha kusimamishwa wahyi akiripoti kauli ya Mtume (s.a.w): "Nilipokuwa natembea, ghafla nikasikia sauti kutoka angani. Nikatizama juu na kumuona Malaika yule yule aliyenitembelea katika pango la Hira' akiwa ameketi kwenye kiti kati ya anga na ardhi. Nikapatwa na uwoga juu yake na kurudi nyumbani na kusema, 'Nigubike (na blanketi)' Kisha Allah akafunua aya tukufu zifuatazo za (Qur'an):
'Ewe (Muhammad)! uliyejigubika (kwa maguo)!' Simama na Uonye,...mpaka 'na utelekeze masanamu (Miungu ya uongo)' (74.1-5) Baada ya hapa wahyi ukaanza kuja kwa nguvu, mara nyingi, na kwa utaratibu.

No comments:

Post a Comment