Monday, April 2, 2012

Bukhari 1:6


Sahih Al-Bukhari: Kitabu#1, Hadith#6

Narrated Ibn 'Abbas:
Allah's Apostle was the most generous of all the people, and he used to reach the peak in generosity in the month of Ramadan when Gabriel met him. Gabriel used to meet him every night of Ramadan to teach him the Qur'an. Allah's Apostle was the most generous person, even more generous than the strong uncontrollable wind (in readiness and haste to do charitable deeds).


حَدَّثَنَا عَبْدَانُ، قَالَ أَخْبَرَنَا عَبْدُ اللَّهِ، قَالَ أَخْبَرَنَا يُونُسُ، عَنِ الزُّهْرِيِّ، ح وَحَدَّثَنَا بِشْرُ بْنُ مُحَمَّدٍ، قَالَ أَخْبَرَنَا عَبْدُ اللَّهِ، قَالَ أَخْبَرَنَا يُونُسُ، وَمَعْمَرٌ، عَنِ الزُّهْرِيِّ، نَحْوَهُ قَالَ أَخْبَرَنِي عُبَيْدُ اللَّهِ بْنُ عَبْدِ اللَّهِ، عَنِ ابْنِ عَبَّاسٍ، قَالَ كَانَ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم أَجْوَدَ النَّاسِ، وَكَانَ أَجْوَدُ مَا يَكُونُ فِي رَمَضَانَ حِينَ يَلْقَاهُ جِبْرِيلُ، وَكَانَ يَلْقَاهُ فِي كُلِّ لَيْلَةٍ مِنْ رَمَضَانَ فَيُدَارِسُهُ الْقُرْآنَ، فَلَرَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم أَجْوَدُ بِالْخَيْرِ مِنَ الرِّيحِ الْمُرْسَلَةِ.

Amesimulia Ibn 'Abbas (r.a):
Mtume wa Allah (s.a.w) alikuwa mkarimu kuliko watu wote, na alikuwa akifikia kileleni katika ukarimu katika mwezi wa Ramadhani wakati Jibril (a.s) alipokutana naye. Jibril (a.s) alikuwa akikutana naye kila usiku wa Ramadhani kumfundisha Qur'an. Mtume wa Allah (s.a.w) alikuwa mkarimu kuliko watu wote, hata kuushinda upepo mkali wenye nguvu (katika utayari na kuharakisha kufanya mambo ya sadaka).

No comments:

Post a Comment