Friday, April 13, 2012

Bukhari 2:13


Sahih Al-Bukhari: Kitabu #2, Hadith#13


Narrated 'Aisha:
Whenever Allah's Apostle ordered the Muslims to do something, he used to order them deeds which were easy for them to do, (according to their strength endurance). They said, "O Allah's Apostle! We are not like you. Allah has forgiven your past and future sins." So Allah's Apostle became angry and it was apparent on his face. He said, "I am the most Allah fearing, and know Allah better than all of you do."


حَدَّثَنَا مُحَمَّدُ بْنُ سَلاَمٍ، قَالَ أَخْبَرَنَا عَبْدَةُ، عَنْ هِشَامٍ، عَنْ أَبِيهِ، عَنْ عَائِشَةَ، قَالَتْ كَانَ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم إِذَا أَمَرَهُمْ أَمَرَهُمْ مِنَ الأَعْمَالِ بِمَا يُطِيقُونَ قَالُوا إِنَّا لَسْنَا كَهَيْئَتِكَ يَا رَسُولَ اللَّهِ، إِنَّ اللَّهَ قَدْ غَفَرَ لَكَ مَا تَقَدَّمَ مِنْ ذَنْبِكَ وَمَا تَأَخَّرَ. فَيَغْضَبُ حَتَّى يُعْرَفَ الْغَضَبُ فِي وَجْهِهِ ثُمَّ يَقُولُ " إِنَّ أَتْقَاكُمْ وَأَعْلَمَكُمْ بِاللَّهِ أَنَا ".


Amesimulia 'Aisha (r.a):
Wakati wowote Mtume wa Allah (s.a.w) alipoamrisha Waislam kufanya kitu, alikuwa akiwaamrisha matendo yaliyo rahisi kwao kutenda, (kutokana na nguvu na uwezo wao). Walisema, "Ewe Mtume wa Allah! Hatuko kama wewe (Wakitaka kufanya mambo mazito zaidi). Allah amekusamehe madhambi yako yaliyopita na yajayo." Basi Mtume wa Allah (s.a.w) alikasirika na ilionekana usoni mwake. Alisema, "Mimi ni nimuogopaye Mungu kuliko wote, na namjua Allah kuliko ninyi wote mnavyomjua."

No comments:

Post a Comment