Friday, April 13, 2012

Bukhari 2:12


Sahih Al-Bukhari: Kitabu #2, Hadith #12


Narrated Abu Said Al-Khudri:
Allah's Apostle said, "A time will come that the best property of a Muslim will be sheep which he will take on the top of mountains and the places of rainfall (valleys) so as to flee with his religion from afflictions."


حَدَّثَنَا عَبْدُ اللَّهِ بْنُ مَسْلَمَةَ، عَنْ مَالِكٍ، عَنْ عَبْدِ الرَّحْمَنِ بْنِ عَبْدِ اللَّهِ بْنِ عَبْدِ الرَّحْمَنِ بْنِ أَبِي صَعْصَعَةَ، عَنْ أَبِيهِ، عَنْ أَبِي سَعِيدٍ الْخُدْرِيِّ، أَنَّهُ قَالَ قَالَ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم " يُوشِكُ أَنْ يَكُونَ خَيْرَ مَالِ الْمُسْلِمِ غَنَمٌ يَتْبَعُ بِهَا شَعَفَ الْجِبَالِ وَمَوَاقِعَ الْقَطْرِ، يَفِرُّ بِدِينِهِ مِنَ الْفِتَنِ ".

Amesimulia Abu Said Al-Khudri (r.a):
Mtume wa Allah (s.a.w) amesema, "Utafika wakati ambao mali bora ya Muislam itakuwa ni kondoo ambaye atamchukua kileleni mwa mlima na sehemu za mvua (mabonde) kukimbia fitna kwa dini yake"

No comments:

Post a Comment