Thursday, March 22, 2012

Bukhari, 1:1

Sahih Al Bukhari: (Kitabu#1, Hadithi#1)

Narrated 'Umar bin Al-Khattab:
I heard Allah's Apostle saying, "The reward of deeds depends upon the intentions and every person will get the reward according to what he has intended. So whoever emigrated for worldly benefits or for a woman to marry, his emigration was for what he emigrated for."

حَدَّثَنَا الْحُمَيْدِيُّ عَبْدُ اللَّهِ بْنُ الزُّبَيْرِ، قَالَ حَدَّثَنَا سُفْيَانُ، قَالَ حَدَّثَنَا يَحْيَى بْنُ سَعِيدٍ الأَنْصَارِيُّ، قَالَ أَخْبَرَنِي مُحَمَّدُ بْنُ إِبْرَاهِيمَ التَّيْمِيُّ، أَنَّهُ سَمِعَ عَلْقَمَةَ بْنَ وَقَّاصٍ اللَّيْثِيَّ، يَقُولُ سَمِعْتُ عُمَرَ بْنَ الْخَطَّابِ ـ رضى الله عنه ـ عَلَى الْمِنْبَرِ قَالَ سَمِعْتُ رَسُولَ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم يَقُولُ " إِنَّمَا الأَعْمَالُ بِالنِّيَّاتِ، وَإِنَّمَا لِكُلِّ امْرِئٍ مَا نَوَى، فَمَنْ كَانَتْ هِجْرَتُهُ إِلَى دُنْيَا يُصِيبُهَا أَوْ إِلَى امْرَأَةٍ يَنْكِحُهَا فَهِجْرَتُهُ إِلَى مَا هَاجَرَ إِلَيْهِ ".

Amesimulia 'Umar bin Al-Khattab (r.a):
Nilimsikia Mtume wa Allah (s.a.w) akisema, "Malipo ya matendo hutegemea nia na kila mja atapata malipo kutokana na alichonuia. Kwa hiyo yeyote aliyehama kwa ajili ya manufaa ya kidunia au kwa ajili ya kuoa mwanamke, basi kuhama kwake ni kwa ajili ya alichokihamia"

Tuesday, March 13, 2012

Ujirani katika uislam


Bismillahi Rahmani Rahiim



"Mtumikieni (muabuduni) Allah, na msimshirikishe na chochote; na watendeeni wema wazazi, ndugu, yatima, na wenye shida, majirani walio karibu, majirani wageni, swahiba walio pembeni yenu, wapitanjia (mnaokutana nao), na mikono yenu ya kuume inayomiliki. Hakika Mwenyezi Mungu hapendi wenye kiburi wanao jifakhiri." [Qur'an 4:36]

Monday, March 12, 2012

Swali kuhusu jina "WAHABIYYA"

Swali: 


Ni nani wahabi? Kwanini waitwe hivyo kama wenyewe wanajiita Salafi?

Jibu:

WAHABI ni yoyote anayefuata itikadi, aqida, harakati na msimamo wa Shehe wa Najidi Muhammad Ibn Abdul-Wahab na kukubaliana nao na kuuendeleza mtizamo huo.

Swali kuhusu hukumu ya hirizi

Swali:

Ni nini hukmu ya hirizi katika sharia?


Jibu:

Kumeulizwa mara nyingi kuhusu hirizi na hukmu yake katika sheria ya kiislamu, na lakuskitisha mas'ala haya ni katika masail ambayo baadhi ya wanaojinasibisha na ilmu wanawatia wenzi wao katika shirki kwa sababu ya hirizi! kanakwamba ma3ulamaa wa ummah wameafikiana wote kua hirizi ni shirki, na lakuskitisha hawatafautishi kati ya inayoandikwa Qur'an ndani na nyenginezo!

Thursday, March 1, 2012

Swali kuhusu "Al Badir/Alal Badri" (Ahlul Badr)

Swali:

Je ni nini maana ya ALAL BADRI?
Je kuna aina ngapi za ALAL BADRI?
Je ktk dini inaruhusiwa kufanya/kusoma ALAL BADRI?

Jibu:

Jina sahihi ni Ahlul Badr, yaani watu wa Badr. Hawa ni maswahaba (R.A) waliopigana vita vya Badr na kuleta ushindi kwa waislam mwezi wa Ramadhan, tarehe 17, Mwaka 2 (AH). Idadi yao ni kati ya 305

Swali kuhusu wasiokua waislamu wanaosaidia waislam vitani


Swali:


Nini hukmu ya wasiokuwa waislam wanaopigana (alongside) au kushirikiana kwa namna moja au nyingine na muslims katika jihad dhidi ya maadui wa waislam?

Jibu:

Hakuna ubaya kwa asiyekuwa Mwislamu kujitolea au kushirikiana na Waislamu, katika jihadi dhidi ya maadui wa Waislamu – iwapo Waislamu wenyewe hawana mashaka au wasiwasi naye na wakawa