"Na kwa nafsi na kwa aliye itengeneza! Kisha akaifahamisha uovu wake na wema wake, Hakika amefanikiwa aliye itakasa, Na hakika amekhasiri aliye iviza."
As salaamu alaikum! Shukrani na sifa zote ni zake Allah [Subhanahu Wa Ta'allah]; rehma, baraka, na amani za Allah zimfikie kipenzi wetu Mtume Muhammad [Sallalahu alayhi wasallam], ahli zake, swahaba wake, na wanaomfuata. Dhumuni la Blog hii ni kukumbushana, kuelimishana na kusambaza mafunzo ya ilm tasawwuf/tazkiyah, iliyojengeka juu ya msingi wa Qur'an na Sunnah haswa kwa kufuatana na madhehebu ya Imam Shafii.
Search This Blog
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment