Je, Bid'a ni nini?
Pt 1
-----------------------------------------------------
Je, Bid'a ni nini?
Pt 2By: Ustadh Mbarak Ahmed
As salaamu alaikum! Shukrani na sifa zote ni zake Allah [Subhanahu Wa Ta'allah]; rehma, baraka, na amani za Allah zimfikie kipenzi wetu Mtume Muhammad [Sallalahu alayhi wasallam], ahli zake, swahaba wake, na wanaomfuata. Dhumuni la Blog hii ni kukumbushana, kuelimishana na kusambaza mafunzo ya ilm tasawwuf/tazkiyah, iliyojengeka juu ya msingi wa Qur'an na Sunnah haswa kwa kufuatana na madhehebu ya Imam Shafii.
mashallah asante shekhe mbarak nimekupata vizuri sana,mungu akujaze kheri akupe zaidi uje kutusomesha sote
ReplyDeleteSidi Ibrahim, yasemwa kuwa Sidi Mbarak akitokea Mawahabi wapitia upande wa pili tena wakimbia mbio
ReplyDelete