AUDHUBILLAHI MINASHAITWANI RAJIYM
ALLAHU LATWIFUN BIL IBADAHI YARZUQU MANYASHAAU WA HUWA-L-QAWIYYU-L-AZIYZ
Soma YA LATWIYF Mara 1000
Kisha Soma Dua hii
YA LATWIYF BIL KHALQIHI YA ALIYMAN IKHALQIHI YA KHABIRAN BIKHALQHI ULTUF BINAA YA LATWIYF YA KHABIYR Mara 3
ALLAHUMMA YA MAN LATFATA FIKHALQI SAMAWATI WAL ARDH WA YAA LATFATA BIL AJINNATI FIL BUTWUNI UMMAHATIHA, ULTUFBINAA LUTFAN YALIQU BI KARAMIKA YAA AR-HAMA-R-RAHIMIYN YA ALLAH Mara 3
ALLAHUMMA YAA MAN JA’ALTA AS-SWALATA ALAN-NABIYYI MINAL QURUBAT, NAAQARRABU ILAIYKA BI KULLI SWALATUN SULLIYAT ALAIYHI MIN AMWAALI N-NASHAT ILAA MAA LAA NIHAAYATALI-L-KAMALAT Mara 3
BISMILLAHI MASHALLAH LAA YASUWQU ILLA-LLAH
BISMILLAHI MASHALLAH LAAA YASRIFU-S-SU’A ILLA –LLAH
BISMILLAHI MASHALLAH WA MAA BIKUM MIN NIIMATIN FAMINA-LLAH
BISMILLAHI MASHALLAH LAHAWLA WALA QUWATA ILLA BILLAH Mara 3
WASWALLAH LLAHU ALA SAYIDNA WA MAWLANA MUHAMMAD WA ALAA ALIHI WA SWAHBIHI WA SALAAM
Asalaam Aleykhum, naomba nifahamishe hii dua inasomwa wakati gani? shukrani
ReplyDeleteAsalam alykum mie naomba nifahamishwe fadhila zake...mfano unaposoma yalatifw ina fadhila gani au inasiadia nini mfano kama ayat til qur siyu ni kinga n.k...nataka kujua kila dua uloweka inafadhila gani au faida gani kwetu...Allah atuwezeshe.
ReplyDeleteWaaleikum musalaam warahmatullah wa barakatuh, Al-Akh Anonymous:
ReplyDeleteFadhwail za kusoma Dua hii ya Latifiyah zinapatikana kutoka kwa Ayah ya Quraan inayosema "Walillahi al-asmau alhusna fadu’uhu biha wathauu alladhiynayulhiduuna fiy asma-ihi sayujzawna ma kanuu ya’3maluun"
Na Mwenyezi Mungu ana majina mazuri kabisa, basi muombeni kwa hayo. Na waacheni wale wanao haribu utakatifu wa majina yake. Hao watakuja lipwa waliyo kuwa wakiyatenda
Na dua hii yaweza kusomwa wakati wowote ule na kwa tatizo lolote lile lengo anayeliliwa ni Allah azza wa jalla.
Na dua hii imejumuisha maneno mengi ambayo yanaendana na Mafundisho ya Quraan na Sunnah kwa matamko bila kuwemo shirk aina yoyote ile.
Na dua hii kwa mwisho kipande chake ni zinguo(Ruqyah) na kwa misingi ya mazinguo yoyote maneno yake yawe yanaeleweka na yasiwe na shirk ndani yake.
Wa Allahu yaalam.
This comment has been removed by the author.
ReplyDelete