Swali:
Je, kuna dua/ maombi za kuwafukuza majini?
-----------------------------------------------------------------------------------------------
Jibu:
Bismillahi Rahmani Rahiim. Imam Al Nawawi katika Al Adhkar ameeleza kwamba Ibn al Sunni amesimulia kuwa bwana mmoja alimwendea Mtume (Rehema na Amani ziwe juu yake) na kumwambia kuwa kaka yake alikuwa na matatizo ya jini. Mtume (Sallallahu alayhi wa sallam) akamwambia amlete huyo kaka na kisha akamsomea Qur'an kama ifuatavyo:
- Sura al-Fatiha
- Aya nne za mwanzo za al-Baqara
- Aya mbili kutoka kati ya sura hiyo (163-64)
- Ayat al-Kursi
- Aya tatu za mwisho za al-Baqara
- Aya ya kwanza ya Al `Imran
- Aya ya 18 ya Al `Imran
- Aya ya 54 ya al-A`raf
- Aya ya 116 ya al-Mu’minun
- Aya ya 3 ya al-Jinn
- Aya 10 za mwanzo za al-Saaffaat
- Aya 3 za mwisho za al-Hashr
- Sura 3 za mwisho za Qur’an.
Jibu toka kwa Shaykh Gibril F. Haddad.

No comments:
Post a Comment