Mzunguzaji: Allama Habib Ali Aljufri
Siku: Jumanne, 14/2/2012
Muda: 2:00pm hadi 5:00pm
Baada ya Mhadhara Al Habib atatoa waadhi Masjid Nuur, South C baada ya Maghrib.
Al Habib atawasili Kenya kutokea Abu Dhabi tarehe 13, kisha ataondoka Nairobi kuelekea Lamu kwenye Maulid ya Riyadha.
Himma Himma! jitahid kuhudhuria
Kwa maswali na maelekezo zaidi comment hapo chini.
No comments:
Post a Comment