As salaamu alaikum!
Shukrani na sifa zote ni zake Allah [Subhanahu Wa Ta'allah]; rehma, baraka, na amani za Allah zimfikie kipenzi wetu Mtume Muhammad [Sallalahu alayhi wasallam], ahli zake, swahaba wake, na wanaomfuata. Dhumuni la Blog hii ni kukumbushana, kuelimishana na kusambaza mafunzo ya ilm tasawwuf/tazkiyah, iliyojengeka juu ya msingi wa Qur'an na Sunnah haswa kwa kufuatana na madhehebu ya Imam Shafii.
No comments:
Post a Comment